Swahili
-
Shule ya Msingi ya Afrika Mashariki ya Magnet School (Shule Maalum)
Mnamo Septemba 2023, Saint Paul Public Schools inafungua shule mpya inayolenga tamaduni na lugha za Afrika Mashariki za Kisomali, Kiamhara, Kioromo, Kitigrinya, Kiarabu na Kiswahili.
- Huduma isiyolipishwa ya usafiri wa basi kutoka kwa shule nyingi za St. Paul itatolewa
- Tutashughulikia mahitaji ya kitamaduni!
Mahali shule inapatikana: 437 Edmund Ave. W., St. Paul
Gredi: Shule ya Kabla ya Chekechea hadi Gredi ya 5
Saa za shule: 7:30 a.m.-2 p.m.
Ili kutuma ombi au kuuliza maswali, wasiliana na: Fadumo Salah, Student Placement Center, 651-632-3709 au fadumo.salah@spps.org
Tuma ombi leo!